Adverts

Sep 27, 2010

MATUMAINI YA WATOTO KATIKA UCHAGUZI UJAO YAMEZINGATIWA?

huyu mtanzania ana matumaini makubwa na serikali ya Tanzania katika siku zijazo na kikubwa anachokitarajia ni usalama na maisha bora, je viongozi tunaowaandaa kwenye uchaguzi huu wanatambua kama wapo watanzania wa umri huu wapatao milion 7 wanaotegemea nchi njema siku za bbaadaye?