Eeebwana !!! jamaa keshaharibikiwa majukumu yote ya uumbaji hawezi tena hii yote ni kwasababu ya kudanganyika na matumizi ya zana za kichina za kuongeza maboresho ya ndoa!!! tahadhari hasa kwenye maeneo ya mijini ambako kuna malalamiko mengi ya wanaume kuishiwa nguvu na uwezo wa kutumika, msijeenda kwa magagula na wachina kuongeza sijui unene, sijui urefu yatawakuta haya!!