Indaba blog is rural based online news for rural and urban community!!
Adverts
Sep 29, 2010
JAMANI NIMEGUNDUA MBOZI NI NCHI YA AHADI
Jamani hii ndiyo Mbozi hapa ni eneo lenye utajiri wa mapango yenye michoro ya kale, si mmekuwa mkisoma kwenye historia ati michoro Kondoa pekee lakini mbozi kuna michoro kwenye mawe na inakadiriwa kuwepo toka miaka ya 1200 kabla ya Jesus mwenyewe!