Adverts

Sep 28, 2010

KIMONDO NACHO NI SEHEMU YA BURUDANI ZETU VIJIJINI

Hapa ndipo wanapoita Kimondo kinachodhaniwa kuanguka miaka ya mwanzoni mwa 1900 na sasa imekuwa sehemu nyingine ya utalii ambapo watu wamekuwa akisafiRI kutoka mbali kuja kuangalia, wengi wamejaribu kukimega lakini biashara inawakata manake hakimegeki bwana!!! karibuni mbozi, kimondo hiki kinakadiriwa kuwa na uzito wa TANI 12.