Adverts

Sep 29, 2010

MAPAPARAZI WANAPOAMUA KUWA WACHAKACHUAJI

 Semina weeeeeeee, ah tumechoka bwana ! ndivyo inavyoonekana huyu bwana anajaribu kutoa hoja kwa waandaji wa semina ya kuwajengea uwezo wanahabari juu ya kuripoti  habari za watoto walio katika mazingira hatarishi
Ahhh kumbe hamtusikiii, ngoja sasa tuchane chane flip chart zenu ndiyo mjue tumechoka!!!!! hapa wakichangia kuchana frip chart kuashirikia kumaliza unyanyapaa katika kuripoti habari za watoto walio katika mazingira hatarishi, wapili kulia ni aliyekuwa katibu tawala mkoa wa Mbeya Asumpta Ndimbo ambaye sasa  yupo jiji la Mnyalukolo swela!