Kaya zeneye kipato kidogo zilipata fulsa ya kubadili hali yamaisha yao kupitia miradi ta TASAF II wilayani Mbozi, pichani wananchi wa kipato cha chini lakini wanao uwezo wa kufanya kazi wakishiriki katika ujenzi wa barabara maarufu ya Ngaikwela katika eneo la Vwawa ambako miongoni mwa mabadiliko yaliyofikia baadhi ya familia ni pamoja na kumudu kupata chakula kwa msimu wote baada ya kuelekeza fedha walizolipwa kwenye shughuli za kilimo, ingawa wapo pia waliooa wake wa pili na tatu zote hizi kwa wataalamu wa mipango tunaita ni impact whether ni negative au positive!