Adverts

Oct 1, 2010

HUKU KWETU KUNA VIKUNDI VYA KUFA NA KUZIKANA VYA KITULANO!!

Sie huku vijijini tuna utaratibu wa kushirikiana katika masuala ya shida na raha, tuna vikundi vya Kitulano ambavyo huundwa makanisani kuhamasishana kuchangiana wakati jambo lolote la kijamii likijitokeza> hapa ni akina mama wa Kitulano kijiji cha Kiwira wilayani Rungwe wakiwa kwenye moja ya shughuli za misiba.