Adverts

Oct 3, 2010

JAMANI KILA KITU NI HELA!

 Jana wadau nilikwenda shamba, mazingira ya huko nikabaini  fulsa ya kuotesha migomba, nikaingia kwa  majirani kuomba migomba michanga ili nioteshe, bwana wee nikaambiwa kila mgomba ni shilingi 2000/= nikajikuta nalipa 60,000 kwa migomba thelathini nikagundua biashara ngumu!!!