Producer wetu Josh akifurahi kushika pembe za mbuzi wa maziwa katika kijiji cha Mlangali wilayani Ileje wakati tukitengeneza Documentary ya masuala ya Training and technological adoption!![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgMf0Qe2xKQOVhjA1XYtKWrZ85sxoM7_YpRSMklt62gI6PaUeBQVWh0e-xm0_Z0LEAPOaufCxyhBcsa_L5f6bTrXKoYdzCVA9KiJBU544HPrdPJ52gixvS98zaYTWgLbatCEAgbWvhsojEx/s640/AAAH+JOSH.jpg)
Mzee akiwa tayari kutoa maelezo ya namna anavyoendesha mradi wa ufugaji wa Mbuzi wa Maziwa ambapo yeye kwa sasa kijijini hapo amekuwa shell ya maziwa!!![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgMf0Qe2xKQOVhjA1XYtKWrZ85sxoM7_YpRSMklt62gI6PaUeBQVWh0e-xm0_Z0LEAPOaufCxyhBcsa_L5f6bTrXKoYdzCVA9KiJBU544HPrdPJ52gixvS98zaYTWgLbatCEAgbWvhsojEx/s640/AAAH+JOSH.jpg)
Unashangaa nyonyo, je ungemwona mbuzi mwenyewe si ungekimbia ! ndivyo anavyoonekana mzee huyu akijaribu kuelezea namna anavyowafuga mbuzi wake hapo kijijini.