Adverts

Oct 2, 2010

YEBO YEBO NDIYO USAFIRI WETU MJINI

Kuuuleee!! aa inabidi uongeze iwe buku nne! ndivyo anavyoonekana mwendesha pikipiki akimwelekeza mteja  wake katika kituo cha mabasi cha Makaburini mjini Vwawa wilayani Mbozi, Huku bwana sasa hivi Taxi zinakaanga kishenzi manake Piki piki zimeshika hatamu zinawafunika ile mbaya!!!!angalia kuvunjika miguu na shingo!