Adverts

Jan 22, 2011

Chanzo cha mgomo wa Daladala Mbeya chatajwa.

Chanzo cha mgomo wa Daladala Mbeya chatajwa.: "Na Gordon Kalulunga, Mbeya JESHI la Polisi mkoani hapa limebainisha kuwa mgomo wa baadhi ya madereva wa daladala ulioanza juzi Januari 19 mwaka huu katika jiji la Mbeya, ulitokana na kukamatwa kwa daladala zilizoonekana kutokuwa na ubora wa kusafirisha abiria ndani ya jiji na mengine..."