Adverts

Jan 13, 2011

CHEGE NA NONINI NDANI YA KILLER MMOJA.

CHEGE NA NONINI NDANI YA KILLER MMOJA.: "
Chege
Nonini
Hii ni video ambayo itakuwa ina movie ndani yake kama mnavyoona picture jamaa wakiwa wamepata kipigo na majamaa fulani..kaa tayari kwa kitu hiki nadhani mtakipenda tu inajulikana kwa jina la KILLER MMOJA.
" indaba2010