Adverts

Jan 27, 2011

DUUH WATU WANAJUA KUTUNZA KUMBUKUMBU!!!

DUUH WATU WANAJUA KUTUNZA KUMBUKUMBU!!!: " Hii ilikuwa tangazo la disco show ya tarehe 24/7/1992...kiingilio kilikuwa Tsh 1000.Nimeliona nikafurahi mwenyewe maana mie nilikuwa bado dogo hata sijui kama nitakuja kuwa mtangazaji tena wa clouds...wakati huo nilikuwa na mawazo ya kila mtoto.Maana watoto wengi wakiwa wadogo wanawaza anataka kuwa dokta kisa dokta ndie mfanyakazi wa kwanza anaekutana nae mara kwa mara akiumwa na pia mwalimu wa shule anaemfundisha.
"