Adverts

Jan 18, 2011

Harambee ya UDSM kufanyika Ikulu

Harambee ya UDSM kufanyika Ikulu: "
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam(UDSM) Profesa Rwekaza Mukandala(katikati) akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es salaam juu harambe ya uchangishaji wa fedha kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha wanafunzi cha CKD itakayofanyika Ikulu jijini Dar es alaam. Mgeni rasmi katika harambe hiyo itakayofanyika Alhamis tarehe 20.1.2011 ni Rais Jakaya Mrisho Kikwete.
" new post