Adverts

Jan 28, 2011

Huku kijijini si shwari hata kidogo...

"
Mzee wa Uungwana Mfalme Mrope akilikwamua gari la mamsapu asubuhi hii
Snow iliyoanza kushuka juzi usiku na kuendelea hadi jana usiku imeleta usumbufu mkubwa hapa kijijini kwetu. Shughuli nyingi zimesimama na watu wengi kukwama makazini. Tunawaomba wale wote muishio maeneo haya kuwa makini na kuchukua tahadhari pindi muwapo huko mabarabarani- Kaeni Salama! CHANZO JE HUU NI UUNGWANA BLOG
"