Adverts

Jan 18, 2011

Jinsi gani unaweza kuondoa Windows.old

Jinsi gani unaweza kuondoa Windows.old: "

Walenga walisema “Ya kale ni dhahabu”, hii sio tu kwa binadamu,bali hata kwenye mitambo ambayo yao hutumia sifuri na moja(kompyuta) nayo hulitambua na kujua umuhimu wa kuhifadhi vitu vya zamani au kale.

Pindi unapobadilisha mtambo endeshi na kuweka mtambo endeshi wa aina ya Windows 7 au Windows Vista,basi mitambo hiyo huifadhi mtambo ulipita katika faili moja ambalo hulipa jina la Windows.old. Faili hili huifadhiwa kwenye C:\Windows.old,ambapo C: ni sehemu mojawapo ya mgao wa kompyuta.Sio lazima iwe C:,inaweza kuwa yoyote kutegemeana na nafasi au wapi umehifadhi mtambo endeshi.

Umuhimu wa Windows.old ni kwa ajili ya mambo ya tahadhari kwani inawezekana ulifuta… Read more

" new post