Recipe hii imetumwa kutoka TABORA
Jan 28, 2011
JINSI YA KUPIKA UYOGA
JINSI YA KUPIKA UYOGA: " Humo ndani kuna uyoga wa aina nyingi  sana na tuliuchanganya wote kwa pamoja nikaupika kwa nyanya na vitunguu  na mafuta, majina ya uyoga huo ni haya hapa, Ushikoa,  Unkese, uyungwe, Kaujogoo, Wikundi kundi, Ndevu za Babu na Untyelele.  Wote huu upo humo, mtamu sana.
Humo ndani kuna uyoga wa aina nyingi  sana na tuliuchanganya wote kwa pamoja nikaupika kwa nyanya na vitunguu  na mafuta, majina ya uyoga huo ni haya hapa, Ushikoa,  Unkese, uyungwe, Kaujogoo, Wikundi kundi, Ndevu za Babu na Untyelele.  Wote huu upo humo, mtamu sana.
 UYOGA FRESH, umechumwa shambani,  huu ni ule unaoota wenyewe mashambani na sio wa kupandikizwa kama wa  mijini.
Uyoga ukisafishwahasa kutolewa  udongo ktk mashina na kukatwa katwa vipande vya size ndogo

 Unausafisha uyoga vizuri na maji  ili mchanga na udongo usiwepo
Unakaanga vitunguu na nyanya,  vikiiva na kulainika unaweka uyoga wako ulio msafi, unageuza geuza  vichanganyikane, unaweka chumvi

 Ukiiva unakua rangi hii, pia kuna  wanaopika bila nyaya, ni namna mtu apendavyo, unakula kwa ugali, wali,  viazi n.k

 "
"