Adverts

Jan 19, 2011

JK Aomboleza Kifo Cha Jaji Mapigano

" 1. Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha Maombolezo nyumbani kwa Marehemu Jaji Dan Mapigano leo jijini Dar es Salaam.Jaji Mapigano anatarajiwa kuzikwa leo mchana. 2. Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima za mwisho kwa Marehemu Jaji Dan Mapigano nyumbani kwake Mwenge jijini Dar es Salaam leo asubuhi.Marehemu anatarajiwa kuzikwa leo jijini Dar es Salaam(Picha: Freddy Maro)
"