Adverts

Jan 21, 2011

KIKUNDI CHA KUISHI NA VIRUSI KWAHITAJI UVUMILIVU-KVU HASAMBA CHAHITAJI WADAU ZAIDI

Wanakikundi wa KVU Hasamba wilayani Mbozi wakiwa wamepozi kwenye picha ya pamoja mara baada ya kumalizika kwa kikao cha pamoja na mratibu wa shughuli za kudhibiti UKIMWI wilaya ya Mbozi kwenye ofisi yao. Kwa ujumla kikundi hiki kimekuwa kikibuni miradi mbalimbali ya kuwaingizia mapato na hatimaye sehemu ya faida kuitumia kwaajili ya kugawa kwa wanachama waweze kujitoshereza kwa chakula hasa lishe. Kimo kwenye hatua za usajiri na kinahitaji wadau wa kushirikiana nao ili kuleta mabadiliko katika jamii. Nyote wenye mapenzi mema mnaweza kuwasiliana na kikundi hiki moja kwa moja kwa simu namba 0716515444