Adverts

Jan 23, 2011

KIKUNDI CHA UKOMBOZI KINAHITAJI NETWORK NA WADAU WA VVU NA UKIMWI

 Hawa ni wadau wangu wa  majukumu ya kila siku kikundi cha UKOMBOZI ambacho kinaundwa na watu wanaoishi na VVU na UKIMWI tukiwa pamoja kwenye mikutano yao ya kila mwezi mara moja ambapo hujadili mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na huduma wanazopata, matibabu na changamoto zinazokabili mapambano dhidi ya maambukizi mapya ya VVU na UKIMWI.
Tunahitaji mahusiano na taasisi zingine zenye nia njema ili tufanye nanyi kazi kama kundi la watu wenye VVU ambapo tuna uwezo wa kutoa elimu katika jamii kupitia kikundi cha Kwaya tulicho nacho, lakini pia katika kutekeleza miradi ya kiuchumi. Wwasiliana na anchor atakuunganisha nasi.