Adverts

Jan 18, 2011

MAKETE NCHI NZURI YA UZALISHAJI MATUNDA

Haya ni matunda ya hali nzuri ya hewa wilayani Makete, ambapo matunda aina ya apple yamekuwa yakizalishwa kwa wingi kuanzia miaka ya 2005 hadi sasa kufuatia utekelezaji wa mradi wa Kilimo cha matunda Makete kupitia shirika la kimarekani la Enterprises Works.