Adverts

Jan 13, 2011

THE MAKING OF “NITAREJEA” VIDEO

THE MAKING OF “NITAREJEA” VIDEO: "
Baada ya mwaka wenye mafanikio makubwa, msanii Diamond au Mzee wa Mbagala kama wengine wanavyopenda kumwita,amerejea tena kazini.
Amekuwa “bize’ akitengeneza video ya wimbo wake mwingine unaokwenda kwa jina Nitarejea ambao umo katika album ya Kamwambie.Katika wimbo huo,Diamond amemshirikisha msanii anayekwenda kwa jina la Hawa.
Wakati mashabiki wa Diamond wakiisubiri kwa hamu video ya Nitarejea ambayo imetengenezwa chini ya usimamizi wa Adam Juma wa Visual Lab.Inatarajiwa kuvamia vituo vya televisheni na mitandaoni hivi karibuni.Stay tuned.Hizi hapa ni baadhi ya picha kutoka katika utengenezaji wa Nitarejea.

Fikra

Family

Kazi

Maisha

Matumaini

Picha na chanzo cha habari kwa hisani ya Urban Pulse Creative-UK

" indaba2010