Adverts

Jan 22, 2011

MATANGAZO HUUZA, UBUNIFU HUKUFANYA UENDELEE KUWEPO KIBIASHARA

Huyu mjasiliamali bwana ni miongoni mwa wasafiri wa kila siku wa mabasi ya Dar Mbeya ambapo amekuwa akiuza sambusa kuku na vipozopozoso vyote watu wanajilamba ile ile ! lakini usisahau kuwa biashara ni matangazo, yeye ameamua kujitangaza mwenyewe