Adverts

Jan 22, 2011

MTOTO WA MIAKA 12 AELEZA ALIVYOKUWA AKIPAA KAMA NDEGE

MTOTO WA MIAKA 12 AELEZA ALIVYOKUWA AKIPAA KAMA NDEGE: " Mtoto wa miaka 12 mkazi wa Mlandege katika Manispaa ya Iringa pichani akiwa katika kituo cha Overcomers Power Center akifanyiwa maombi baada ya kusumbuliwa kwa zaidi ya miaka miwili akidai kushiriki vikao vya kishrikina na wenzake ,mtoto huyo amesalimisha dawa ambazo alikuwa akitumia kufanya kila akipendacho na kueleza jinsi alivyopata kuishi majini ,habari zaidi sikiliza Radio wapo Fm kwa wakazi wa jijini Dar es Salaam na Iringa sikilizeni Overcomers Fm 98.6 MHz www.francisgodwin.blogspot.com
Hapa dawa hizo zikiteketezwa kwa moto ,tukio hilo limefanyika usiku huu mjini Iringa kumbuka habari zaidi ya tukio hilo utazipata katika gazeti la Jibu la Maisha wiki ijayo
"