Kutoka Blog ya Lady Jay dee
Leo tunamtambulisha rasmi muimbaji mpya wa kike ndani ya MACHOZI BAND.........Huyu mtoto anaitwa Bella, anauwezo wa sauti, mvuto anao na ana confidence ya kulimiliki jukwaa.
Bella alipiga simu baada ya kusikia kuwa Machozi Band inatoa nafasi zaidi kwa waimbaji wa kike msimu huu.
Akafika mazoezini kujaribu ili kuona uwezo wake, kila mtu alimpokea na kukubali kuwa ataweza.. Kadri siku zitakavyoenda tunaamini ana nafasi ya kuwa mkali zaidi.
Na leo ndani ya MZALENDO PUB tunamjaribu Bella mbele yenu, tunawaalika mje kushuhudia muonekano mpya wa Machozi Band unaopambwa na Flowers zaidi.
Mliliulizia, tunalitimiza............