Adverts

Jan 28, 2011

NAOMBA MNISAIDIE KATIKA HILI..

NAOMBA MNISAIDIE KATIKA HILI..: "Hawa wote ni wanyama jamii ya chui lakini kila mmoja ana jina lake,namba mnisaidie kuwajua kwa lugha ya kiswahili yupi ni yupi maana mie nachanganya tu. Huyu ni Leopard ambae mimi nimejifunza toka siku nyingi kuwa anaitwa chui...
Huyu ndio Tiger kwa kiswahili anaitwaje?
Huyu ndio Cheetah kwa kiingereza kwa kiswahili anaitwaje?
Nasubiri kujifunza na mimi kutoka kwenu wadau.
"