MAJID AMEONGEZEWA MKATABAWA KIBARUA CHAKE
Miaka miwili mingine. Nimalizie kipande kilichobaki cha mraba wangu. Mara hii nikimaliza nitapenda nianze na mraba mpya mahali pengine, kama kuna watakaonihitaji kwa kazi yangu ya kibarua. Anayenihitaji ajue, kuwa mie napiga mzigo katika mazingira ye yote yale na bila kuhofia mazingara ya mahali husika, iwe mjini au kijijini. Miaka miwili iliyopita nimekuwa nanyi pia, tuzidi kuwa pamoja. Nawashukuru sana.
"