Adverts

Jan 13, 2011

Sudi Mnette na adha ya barafu Ujerumani

Sudi Mnette na adha ya barafu Ujerumani: "
Sudi Mette akiwa na rafiki yake wakingwangua barafu iliyoliziba gari lake huko Bonn- Ujerumani. Barafu imefunika barabara na viwanja vya ndege kiasi cha kuzuiasafari za ndege na vyombo vingine vya usafiri barani Ulaya.
Sudi akinasua gari hilo kwa kukwangua barafu ili awahi majukumu yake.
" indaba2010