Adverts

Jan 28, 2011

TUSISAHAU UTAMADUNI/NGOMA ZETU ZA JADI-NGOMA YA CHIYODA/KIODA!!!

TUSISAHAU UTAMADUNI/NGOMA ZETU ZA JADI-NGOMA YA CHIYODA/KIODA!!!: " Hapa ni ngoma ya kioda(chioda). Ni ngoma ya WamaTengo na inachezwa na akina mama, hapa ni kijiji cha Mkinga katika bonde la Hagati-Mbinga. IJUMAA NA MWISHO WA JUMA MWEMA KWA BURUDANI HII!!! Thanks MAISHA NA MAFANIKIO BLOG!
"