Adverts

Jan 14, 2011

UGANDA WANAJIPANGA KWA UCHAGUZI MKUU

Zana hizi za jeshi la polisi la Uganda zikiwa njiani kupelekwa nchini humo kwaajili ya maandalizi ya Uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika very soon, hapa ni mdau Mwakyembe katika pita pita zake akakutana nayo yakiwa njiani kwenda huko barabara ya Dodoma-Moro