Wakati huo fani ya maendeleo ya jamii enzi za mwalimu Nyerere ilipewa umuhimu mkubwa na tukawa na mabibi maendeleo na mabwana maendeleo, lakini miaka ya hivi karibuni msukumo umepungua, hapa ni wanafunzi wa maendeleo ya jamii chuo cha Rungemba wakiwa katika mazoezi yao ya kazi Halmashauri ya wilaya ya MBOZI