Je ni mambo gani ya muhimu kuzingatia pindi unaponunua kompyuta ya mezani(PC desktop) au ile ya mkononi(PC laptop)?

Ili kuhakikisha wanajamii wanapata uelewa wa dhati juu ya hili ukizingatia ni moja kati ya swali ambalo wengi wetu tumekuwa tukipambana nalo.Pata mazingatio kwa kutembelea Mchakato wa kununua Laptop/PC ndani ya (bofya hapa)AfroIT Forums