Adverts

Jan 20, 2011

Wawili wafa ajalini Sweden

Wawili wafa ajalini Sweden: "
Ajali mbaya imetokea leo hii nchini Uswidibaada ya dereva wa taxi kukatiza kwenye njia ya train pindi gari moshi hilo lilipokuwakwenye mwendo mdundo.
Ni agharabu kwa huku kutokea ajali kama hii kwani kuna ishara zinayoonyesha kwamba kuna gari moshi linakuja na kiashiria huziba njia. Sasa haikujulikana kama kiashiria kiliharibika au dereva aliongeza manjonjo yake na kula mzinga. Ajali kama hizi uwa zinatokea mara kwa mara kule kwetu hususani Tandika via Yombo Dovya na kwengineko. Je, wadua, Nini kifanyike lau kujaribu kupunguza ajali zembe kama hizi?
Na Mdau wa Iceland
"