DARAJA | WANAFUNZI |
I | 5363 |
II | 9942 |
III | 25083 |
IV | 136,633 |
0 | 177,021 |
Ankali Mithupu hivyo ndiyo hali halisi ya jinsi ya matokeo ya kidato cha nne mwaka 2010,najua Mkuu wa NECTA aklitoa kwa asilimia ,ambazo huwa watu wengi hatuwezi kuzing’amua kwa urahisi.
Ila hayo ndo maafa yaliyotukumba Tanzania kama Taifa,maana huu ni msimba wa kitaifa na ni janga kwa
Nchi yetu kutoa 0 177,021 ndani ya mwaka mmoja.
Wadau wanao husika na sekta hii muhimu wito kwenu tufanye kazi kwa bidii kuondoa aibu hii.
Napenda kuwasilisha.
"