Adverts

Feb 22, 2011

ALL STAR GAME 2011 PINK REDCARPET!!!

Kabla ya ma'celebrity kujaza ukumbi wa Staples Center jana walipitia, T-Mobile Pink Carpet. Wachezaji na ma'super wasimama na kuzungumza mawili matatu na Rick Fox na Nick Canon waliohost carpetini. Pichani wakina LeBron, Dwyane, na Chris Bosh.
Kobe B.
Christ Paul... -more pictures press read more...
Our total knockout artist John Legend na mywife wake Christine walikwepo.
Lisa Leslie alikwepo. Huyu ndiye Kobe Bryant wa kike.
Beautiful Gabby...
'I belong you... and you, you belong to me too.' tantila taa nta, tantila taa nta'... Do you remember the song?... yeah it's was his, Lenny Kravitz

"