Mtunga Sheria ndiyo mvunja Sheria, hapa nia askari Polisi ambao wao huwa wa kwanza katika kutoa elimu ya Usalama Barabarani, na hasa kwa waendesha pikipiki kutopakia abiri zaidi ya mmoja ili kuepuka ajali, lakini wao cheki walivyopakiana kana kwamba sheria ya usalama Barabarani wao haiwahusu kabisaaa.
Gari ndogo kama hii hebu cheki hii lumbesa iliyopakia je itafika kweli??



Huko nako kuna Uswahilini kama hivi......
Kama Kawa... Hizi ni baadhi ya nyumba za uswazi zikiwa na madaraja ya kiaina kukwepa mafuriko kama ya Tandale.