Adverts

Feb 17, 2011

Gongo la Mboto bomb blasts … a glimpse


Daladala ililipuliwa na Bomu!!!!!!!!!!!!!




Watu walijiokoa nyoyo zao!

Wengine waliamua kwenda kwa miguu kukimbia kadhia

Sumatra ilifumba macho watu waokoe maisha yao kwanza

Tuhame mwanangu!!!!!!!!!!!!!!







UWANJA WA NDEGE WA Mwalimu JK Nyerere ulikuwa hivi!!!!!

Miundombinu , Umeme na mambo mengine viliharibiwa









Lipumba aliwatembelea wahanga na kuwafariji

Haya ndiyo madude yaliyolipuka



"