Adverts

Feb 2, 2011

hapa ndipo mtu unapoomba Mungu achukue tu roho yako

hapa ndipo mtu unapoomba Mungu achukue tu roho yako: "

Huyu ndio Mtanzania halisi katika ulimwengu wa sasa, kama alivyoonwa na kaka Saidi Michael wa http://sidymic.blogspot.com/

Mambo mengine ni vyema ukaishia kuyasikia kwa jirani, ukaishia kuyaona kwa jirani lakini usiombee yakufike, utakiona cha moto hadi mwenyewe kumpigia magoti Mungu ukimuomba aichukue roho yako ili ukapumzike kwa amani huko karibu na yeye…ndio, huko naamini hakuna shida sana kama tunazopata hapa duniani kwakweli, na hasa dunia yenyewe unayoishi inapokuwa ni kipande hiki cha Tanzania.

"