Adverts

Feb 19, 2011

HII NIMEIPENDA KWENYE MATUKIO YOTE YA GONGO LA MBOTO

Hii inaweza kuwa picha inayowakilisha suala la jinsia  kama mahusiano baina ya mwanaume na mwanamke katika majukumu ya kila siku kama sehemu ya mchango wa maendeleo kwa kuzingatia zaidi jamii , wakati na tamaduni za eneo, huyu baba ametuwakilisha vyema