Huyu mshkaji naona kazuka tu mara moja huku kwetu sasa kilichotokea watu wamekuwa wanamshangaa hizi staili kwetu huku vijijini hatua hizi, ikawa wakati fulani watu wamemzunguka kutaka kujua angependa eti avae na sidiria kabisaa??????????
Jamaa hakujibu lolote akaendelea na safari zake mwisho wakaachana naye !