Adverts

Feb 26, 2011

JAJI MKUU UNAIKUMBUKA PICHA HII

Hii picha imechimbuliwa mahala, bila shaka wengi wa wanaoonekana pichani hapa wamepanda vyeo hadi ngazi za kutisha, mmoja wao ni huyo mzee mweupe ! JAJI MKUU  lakini pia hata hao waliovaa kijeshi wamepanda madaraka  mie niishie hapo wajiangalie wenyewe!