Adverts

Feb 19, 2011

JAMANI WESE LINASUMBUA VIJIJINI HATUENDESHI TENA MAGARI

Hii ndiyo bei ya Mafuta katika mji wetu wa Vwawa siku ya leo, hali ikiendelea kuwa hivi nakusudia kuegesha gari langu manake sitaweza kumudu, nitaingia kwenye matumizi ya yebo yebo ama pikipiki za mchina!!!!!!!!!!!