Jk akiwa katika mazungumzo na Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo(DRC) jijini Kinshasa leo jioni. Rais Kikwete alisimama kwa muda mjini Kinshasa akitokea Abidjan, Ivory Coast na kufanya mazungumzo na Rais Kabila, kabla ya kurejea nyumbani
"