Adverts

Feb 25, 2011

JUSTIN BIEBER....KINARA WA YOUTUBE!

Justin Bieber anaongoza kutazamwa sana video zake na fans wengi zaidi kwenye mtandao wa youtube,So ngoja tucheki the top 10 artists wanaotisha kwa kuangaliwa video zao kwenye youtube.

    1. JUSTIN BIEBER – WATU BILIONI 1 NA MILIONI 329

    2. LADY GAGA – WATU BILIONI 1 NA MILIONI 190

    3. EMINEM - WATU MILIONI 1

    4. RIHANNA - WATU MILIONI 979

    5. SHAKIRA - WATU MILIONI 680

    6. BRITNEY SPEARS - WATU MILIONI 669

    7. BLACK EYED PEAS - WATU MILIONI 641

    8. MICHAEL JACKSON - WATU MILIONI 632

    9. JONAS BROTHERS - WATU MILIONI 561

    10. SOULJA BOY - WATUMILIONI 537

"