Adverts

Feb 27, 2011

' Kamanda wa Mjengwa atoa hotuba juu ya janga la Njaa huko Iringa International

Ni kwenye 'Dhifa Ya Njaa'- Hunger Banquet, Iringa International School, jana jioni. Dhifa hiyo iliandaliwa na wanafunzi na walimu wa darasa la kijana wangu ili kutoa fursa ya kujadili suala la usalama wa chakula ( Food Security) na mgawanyo wa rasilimali za dunia kwa ujumla wake.
"