Adverts

Feb 8, 2011

KANUMBA AREJEA BONGO NA KUSEMA HAYA

Baada ya kumaliza ziara yangu U.S.A na sasa niko nyumbani na mda si mrefu ntaanza kazi kama kawaida maana mimi ni kazi tu maneno sijui, Mwaka huu 2011 mwendo wangu utakuwa ni huu wa MBIO tu.....sitotambaa wala kutembea bali nitakimbia na kukimbiza maana naipenda kazi yangu,nimejifunza mengi Hollywood,nimepumzika vya kutosha,nimenunua vifaa vinavyonifaa ktk kazi yangu sasa ni mbio.
"