Adverts

Feb 19, 2011

KUPITIA 15599 SAIDIA GONGO LA MBOTO KWA HALI NA MALI

Baadhi ya watoto waliopotezana na wazazi au walezi wao wakiwa wamepewa hifadhi katika uwanja wa Uhuru. Hapa kulikuwa na biashara ya duka na fundi cherehani. Endapo usafiri ikatokea ukapatikana na kutokana na mahitaji kuwa makubwa zaidi ya uwezo wa vyombo vyenyewe vya usafiri, basi matumizi yalikuwa kama hivi pichani, muhimu kukimbilia sehemu iliyo salam
"