Adverts

Feb 17, 2011

Kwa nini wabunge tu ndio wapewe off day kwa ajili ya milipuko??

Kwa nini wabunge tu ndio wapewe off day kwa ajili ya milipuko??: "
Ina maana wao ndio watumishi pekee wa serikali au? this is not fair. Damu inahitajika muhimbili tafadhali tujitolee wandungu.
"