Adverts

Feb 10, 2011

mabalozi wetu asia watembelea mbuga ya wanyama serengeti

mabalozi wetu asia watembelea mbuga ya wanyama serengeti: "
Mabalozi waTanzania katika nchi za Bara la Asia wakiwa pamoja na watumishi wa TANAPA walipotembelea Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.

1. Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika nchi za Bara la Asia wakiwa pamoja na watumishi wa TANAPA walipotembelea Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.

1. Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika nchi za Bara la Asia wakiwa pamoja na watumishi wa TANAPA walipotembelea Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.

1. Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti akiwaonyesha mabalozi jiwe linalotoa milio ya aina mbalimbali katika hifadhi ya Serengeti ambalo ni kivutio muhimu cha watalii.

1. Balozi Salome Sijaona akiangalia jiwe linalotoa milio ya aina mbalimbali katika Hifadhi ya Serengeti.

"