Adverts

Feb 27, 2011

Mafundisho ya kutengeneza tovuti kwa kutumia Joomla

Lengo la teknolojia ni kurahisisha na kuboresha maisha ya jamii. Hivyo AfroIT tukiwa kama wana jamii tumeanza kuandaa mafundisho ya kutengeneza tovuti kwa kutumia joomla.

Katika mafundisho hayo,mkufunzi Mkata Nyoni atatumia na kugawana uzoefu wake kwenye hii nyanja ya utengenezaji wa tovuti kwenye kipengele cha joomla ambapo hadi mwisho wa safari utaweza kuwa na tovuti nzuri na kuvutia.

Joomla Sehemu ya Kwanza – nenda Hapa

Walengwa wa mafundisho haya ni jamii nziima,ila ili kuhakikisha tunaenda sawia ni muhimu uwe na msingi ufuatao

- Ufahamu wa kompyuta kwa uchache wake

-Ufahamu wa HTML,PHP, na CSS kwa uchache wake(Kama hujui kabisa… Read more

"